Mh.Hemed awaongoza Wananchi kwenye fash fash za madhimisho ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar ya miaka 57.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman awaongoza Wananchi kwenye fash fash za mkesha wa maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 57 hapo uwanja wa maisara suleiman.